Duration 1:37

Basi Latumbukia Baharini Katika Kivukio Cha Likoni

588 watched
0
14
Published 10 Jan 2021

Mtu moja amenusurika kifo baada ya basi kutumbukia baharini katika kivukio cha Likoni. Tukio hilo limetokea asubui ya Januari 10, 2021 mwendo wa saa nne asubui wakati basi hilo lilipopoteza mweleko likiingia katika ferry na kutumbukia baharini. Waokoaji wa shirika la ferry na wavuvi waliokuwepo walishirikiana kwa kumuokoa dereva huyo na pia kulitoa basi hilo kutoka kwenye bahari.

Category

Show more

Comments - 0