Mahitaji:
Muhogo kiasi
Chumvi
Mafuta ya kukaanga
Kwa kukausha chips weka oven 200F au 95C
Bajia:
Kunde ( Black eye pea) Kikombe 1
Chooko nusu 1/2 kikombe ( kama utapenda)
Kitunguu thom chembe 2
Tangawizi Mbichi kiasi kijiko kimoja kidogo
Kitunguu maji 1/2
Majani ya giligilani
Pili pili mbichi kama utapenda
Chumvi kijiko 1 kidogo au zaidi kama utapenda
Baking powder 1/4 robo kijiko kidogo
Mafuta ya kukaangia