Duration 2:57

Waitara: Waliozidishiwa nauli kwenye basi warudishiwe

2 341 watched
0
16
Published 21 Dec 2021

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara akiagiza abiria waliozidishiwa nauli kurudishiwa wakati alipofanya ziara yake katika kituo cha mabasi cha Magufuli kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam

Category

Show more

Comments - 9