Duration 3100

Joel Lwaga - Thunder Episode 9

816 watched
0
9
Published 9 Jul 2021

Tumebakiza siku chache tu kufikia siku hii kubwa sana ya kusifu na kuabudu ambapo ROC Worshippers wakishikiriana na Mtumishi wa Mungu @joellwaga watahudumu. Ni ibada ambayo itakuwa imejaa udhihirisho mkubwa wa nguvu za Mungu maana kama tunavyojua Mungu huketi kwenye sifa.Karibu tushiriki wote baraka hii. Ni siku ya Jumapili ya tarehe 11/07/2021 na ibada itaanza saa Tisa kamili mchana hapahapa Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Pia kwa walio mbali mtaweza kuungana nasi kupitia kurasa zetu za YouTube, Facebook na Instagram zenye jina REALITY OF CHRIST kuanzia saa Tisa kamili mchana. Karibu sana. #THUNDER_2021#Episode9#JoelLwaga

Category

Show more

Comments - 0