Duration 4:45

Wimbo wa Kusifu | Hatuwezi Kuacha Kuimba Nyimbo za Upendo kwa Mungu (Music Video)

36 685 watched
0
271
Published 5 Jan 2020

Wimbo wa Kusifu | Hatuwezi Kuacha Kuimba Nyimbo za Upendo kwa Mungu (Music Video) Hatuwezi kuacha kuimba nyimbo za upendo kwa Mungu. Tunapoimba zaidi, ndivyo hisia inakuwa nzuri zaidi. Tunavyomwimbia Mungu zaidi, ndivyo tumpendavyo zaidi! Tunaimba juu ya kupata mwili kwa Mungu. Tunainuliwa mbele ya kiti Chake, na hatutazami mbinguni tena, tukitamani. Mwenyezi Mungu yuko uso kwa uso nasi. Atuchunga kwa ukweli, kando yetu, wa kweli na halisi. Tunafurahia maneno Yake kila siku. Kuelewa ukweli kuna utamu sana. Moyo wetu umejaa upendo kwa Mungu, kwa kuwa tunauona uso Wake wa kupendeza. Tunaimba na kucheza kwa sifa, hakuna maneno ya kuelezea kupendeza Kwake. Hatuwezi kuacha kuimba nyimbo za upendo kwa Mungu. Tunapoimba zaidi, ndivyo hisia inakuwa nzuri zaidi. Tunavyomwimbia Mungu zaidi, ndivyo tumpendavyo zaidi! Twaimba juu ya hukumu ya haki ya Mungu. Maneno Yake yatutakasa na kutuokoa, yakifichua asili ya kishetani ya mwanadamu na ukweli wa upotovu wa mwanadamu. Maneno Yake hutakasa tabia zetu za kishetani, yakitufanya tuwe watu wapya. Tumetupa nguvu za Shetani. Tunaona upendo wa Mungu ni wa kweli. Haki Yake ni ya kupendeza, utakatifu Wake ni mtamu sana. Hatuwezi kumpenda vya kutosha. Hivyo tunamsifu Mungu; hatuwezi kuzuia hisia zetu. Hakuna kinachoweza kuja kati yetu na Mungu. Hatuwezi kuacha kuimba nyimbo za upendo kwa Mungu. Tunapoimba zaidi, ndivyo hisia inakuwa nzuri zaidi. Tunavyomwimbia Mungu zaidi, ndivyo tumpendavyo zaidi! Neno la Mungu latawala katika maisha ya ufalme. Tunaishi katika nuru. Kupata ukweli kumetuweka huru. Tunamwabudu Mungu kwa moyo, kwa uaminifu. Tumekuwa wandani Wake, tukimtumikia kwa uaminifu. Tunambebea mzigo, tukitimiza wajibu wetu kweli, daima tukiendelea kwenye njia ya kumpenda Mungu. Sasa tunaweza kumpenda na kumtii Mungu, kuishi kwa ajili Yake, hii ndiyo furaha kubwa zaidi. Mwenyezi Mungu, tunakusifu! Tunakuabudu milele! Hatuwezi kuacha kuimba nyimbo za upendo kwa Mungu. Tunapoimba zaidi, ndivyo hisia inakuwa nzuri zaidi. Tunavyomwimbia Mungu zaidi, ndivyo tumpendavyo zaidi! kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App Google play: http://bit.ly/2WHrvj2 App store: https://apple.co/2ZEE29d Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org Wasiliana Nasi: +254-700-427-192 Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma. #nyimbozakabudu #nyimbozainjili #nyimbozawokovu #nyimbompya #swahiligospelsong #swahiligospel #tenzizarohoni #Injili #kikristo #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #ZambianGospel #KanisalaMwenyeziMungu

Category

Show more

Comments - 4