Duration 8:30

Kabla ya kuanza UUMBAJI,MUNGU alikuwa ANAFANYA NINIkabla hajaumba MBINGU alikuwa WAPI

151 359 watched
0
1.8 K
Published 12 Aug 2021

kama ujuavyo binadamu anahitaji kujua kila kitu,hivyo asingeweza kupuuza maswali aliyonayo kichwani kuhusu uumbai wake na dunia kiujumla,na moja ya maswali hayo,ni je ikiwa Mungu ni wa milele alikuwepo tangu na tangu,kabla ya kuanza uumbaji alikuwa anafanya shughuli gani?na pia ikiwa inaaminika Mungu anaishi mbinguni,je alikuwa wapi wakati anaumba mbingu nannchi?

Category

Show more

Comments - 222