Duration 5:17

Babutale alivyolia wakati akihesabu kura za maoni kwenye jimbo la Moro Vijijini Kusini Mashariki

29 900 watched
0
445
Published 22 Jul 2020

Meneja wa Diamond Platnumz, Hamis Taletale aka Babutale, alishinda kwenye kura za maoni za CCM katika jimbo la Morogoro Vijijini Kusini Mashariki. Hata hivyo, machozi ya furaha yalimzidia wakati akihesabu kura baada ya mchakato huo

Category

Show more

Comments - 126