Duration 5:43

MGOMO WA DALADALA MBEYA, DR. TULIA AMVAA WAZIRI BUNGENI “WANAONEKANA SIO WATIIFU”

13 693 watched
0
66
Published 17 May 2021

May 17, 2021 Naibu Spika ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia Ackson amesimama Bungeni na kuelezea sakata la mgomo wa daladala unaoendelea Jimboni kwake huku akitaka Serikali kupitia Waziri wa miundombinu na uchukuzi kuchukua hatua za haraka katika kuhakikisha wanaboresha miundombinu ya barabara katika Jimbo hilo ambayo ndio imekuwa kikwazo kikubwa.

Category

Show more

Comments - 43