Duration 4:5

“Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anawategemeeni saana Uhamiaji.”

368 watched
0
6
Published 14 Jun 2021

#OnTrending! #UhamiajitzNews “Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan anawategemeeni saaana Uhamiaji.” Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Khamis Hamza Chilo wakati akiongea na Maofisa na Askari wa Uhamiaji katika Kituo cha Namanga OSB wakati wa ziara ya kikazi Mkoani Arusha.

Category

Show more

Comments - 2