Duration 10:23

CHADEMA wamtisha IGP Sirro

18 886 watched
0
74
Published 24 Aug 2017

Akisoma barua aliyoiandika kwenda kwa Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Simon Sirro, na Mkurugenzi wa makosa ya upelelezi mbele ya wanahabari mapema leo jijini Dar es salaam, Mwenyekiti wa BAVICHA, Patrobas Paschal Katambi amesema aliyekuwa Waziri wa Nishati na Mdini, Mh. William Ngeleja kupitia pesa alizozirudisha hivi karibuni ni wazi kuwa ni mtuhumiwa na anatakiwa kukamatwa, na kama jeshi halitofanya hivyo wametishia kuandamana Agosti 31, 2017 siku ya Alhamisi ambayo wameyataja maandamano hayo "Alhamisi Nyeusi"

Category

Show more

Comments - 0