Duration 8:47

Polepole: Marekani mama ameenda kuonana na watu hatari waporaji wa mali za Afrika

26 107 watched
0
323
Published 26 Sep 2021

Category

Show more

Comments - 151
  • @
    @jumanneissakwakala18813 years ago Hiki kipindimh polepole, siyo shule tuu. Ni shule + chuo kikuu. Hongera sn mhe polepole. 48
  • @
    @kankukelly6143 years ago Hongera comrade pole. Huo ndio ukweli mtupu ambao tunatakiwa kujifunza sisiya porojo nyingi. 12
  • @
    @jeanboscomunyarurembo34903 years ago Shule ya uongozi ni nzuri saana kwa vijana na waongozi wukomhe pole kwa kazi nzuri ya kizalendo. Naombe ugombee urais. Watanzania wanataka mzalendo wa kweli kama magufuli. 6
  • @
    @peterlot20503 years ago Mh. Polepole, hili kipindi kinasaidia sana zaidi ya kipindi kilichopotea cha papo kwa hapo. Hili nacho ni chuo kikuu. Ubalikiwa na mungu. 5
  • @
    @rutindikarwoganyanja94363 years ago Mbone baba yetu magufuli hakuenda kwa wale wizi. 11
  • @
    @jumaally89943 years ago Safi sana mh polepole mzee wetu jpm amefanya mambo makubwa bila kwenda kuomba misaada ya ajabu. 3
  • @
    @emamkuyu40613 years ago Asante sana, barikiwa sanamagharibi unatamka mangaribi, sisiutamke magharibi. 2
  • @
    @davidkwisi82313 years ago Mimi naomba sana tusirudi kwenye kipindi cha awamu ya nne kuanza kuabudu nchi kubwa za magharibi. Hilo tatizo ni ugonjwa mkubwa sana. Hatuhitaji kushikwa . ...Expand 14
  • @
    @humphreyngallawa56303 years ago Tupo pamoja wajina, upo vizuri, damu ya yesuyote iwarudie wao. 4
  • @
    @williamkavavila6083 years ago Ooh, comrade polepole, mungu wetu akupiganie maisha marefu yenye afya. Kwani una maono yenye nguvu ya roho wa bwana. Amen!
  • @
    @kuntakinte73393 years ago Wewe ni mwanafunzi mtiifu uliefuzu kuchota akili pendwa na akili sana, kutoka kwa mh, hayatiwaelevu. Hongera sana mungu akulipe hustahilicho. 4
  • @
    @jaredyndaga46173 years ago Polepole yupo vizuri sana aendelee tu kufundisha huyu ndo mzalendo haswa. 24
  • @
    @ustadhabdulkariimpuma89533 years ago Namuona mfalme ndani yako. Mungu akusimamie. 1
  • @
    @sharifatutu21583 years ago Hawa ndiyo watu muhim waliyobaki aliwaacha magufuli. 18
  • @
    @amosedward43263 years ago Maneno makini sana kiongozi endelea kuamusha watu fikira. 3
  • @
    @ashuramhando52853 years ago Mama yeye kasema ameenda kurudisha mahusiano na wazungu mahusiano yaliyopotea uongozi wa baba mungu amsimamie huyu mama asiendelee kuchotwa akili na wazungu. 3
  • @
    @asifiwevincent27333 years ago Ume sema kweli; hakuna mazuri toka kwa inje. 1
  • @
    @alphonceelias25513 years ago Mabeberu ukiona wanakupongeza na kukuletea msaada uwe makini sana na hawa watu. Mzungu yeyote ni mnafiki tu. 3
  • @
    @gynae84073 years ago Polepole unanikasirisha unapomtaja huyo mtali sipendi hata kusikia kabisa. Naomba jina moja tu. Litajwe la uncle magu. 1
  • @
    @cosmasdaud90883 years ago Polepole upo vizuri sana kiukweli dunia ndio ipo hivyo inacheza na akili. 2
  • @
    @deogratiasmathias79593 years ago Jamani tunakoelekea ni pabayakurupatia elimu polepole. 2
  • @
    @sagudamatalu96323 years ago Mungu akubariki, watanzania tunahitaji kujitegemea, hao viongozi mazombi hawana mungu.
  • @
    @bahatebahate54273 years ago Upo vizuri sana. Lakini nashindwa kuelewa hawa viongozi wanaona nchi za magharibi akiri zao hazina akiri. 3
  • @
    @henrymhema31013 years ago Ubarikiwe mtumishi maana tanzania inaupungufu mkubwa sana wa watu kama polepole anayeweza kusimama bila kuogopa akasema kweli yote bila kuogopa.
  • @
    @burundibwizacetribea9953 years ago Mimi napenda vijana wanao na oganic akili kama wewe, na wanavyotumia akili zao kufikilia mema kwa africa.
    by the way, ebola ilitengenezwa ili wauwe . ...Expand 19
  • @
    @yusuphsanga44293 years ago Safii mweshimiwaa naisi wenye akili ya vyeti nao wapate kuelimika.
  • @
    @allymwailogwa83642 years ago Kwa kweli hii shule ilikuwa muhimu sana kwa afrika sijajua kwa nini wslikufungia.
  • @
    @saynabmohammed62633 years ago Huyo mama hawez kujiendesha
    mwenyewe ataweza kukopa maden
    nchi imali nyingi tu.
  • @
    @kamanda0073 years ago Nakubaliana na swala la mbegu za kilimo, tuna research institution kama sua, uyole etc zifanye kazi then tuzalishe za kwetu la sivyo tutakuwa watumwa. 1
  • @
    @hajingangila15583 years ago Upo nyumbani kuelimisha family asiye kubali hapo ni wale fundisha wakuelewe. 6
  • @
    @cytkl3 years ago Mwafrika alirogwa na yesu mzungu anaamini yeye ni mtumwa. 5
  • @
    @abuusahya61303 years ago Huy mam mm siitaki hata kusikia sauti yake.
  • @
    @linusdavis90723 years ago Tunaomba ugombee uraisi kaka tukupe kura zote. 1
  • @
    @petersilas42343 years ago Kwa hili la sukari tuwe waangalifu kwani kuna uwezekano wa kupitishia zanzibar. 1
  • @
    @mohamedimwinyi87773 years ago Kweli ni ujinga nakesho mbele ya mungu watajibu na wataukumiwa.
  • @
    @samuelmussa48093 years ago Hapo pa jpm na. Mmh hapana sema jpm tu.
  • @
    @eliabuedward87553 years ago Tanzania ya sasa si kama ya zamani, tanzania ya sasa watu matumbo yao kwanza. 1
  • @
    @micamathew25953 years ago Huyu maza bana mi simpendi coz tayari ni tegemezi.
  • @
    @raybirry38163 years ago Samia kunja hawa samaki wangali wabichi, wanakupinga sana. 1
  • @
    @braystuskibassa38423 years ago Tumekwisha aisee hao utasikia kama unataka msaada kubali ushoga leo viongozi wetu tunawapigia magoti mbaka lini.
  • @
    @papaahansmo11293 years ago Wadau wa katiba mpya tugonge like hapa.
  • @
    @misalabamisalaba50753 years ago Yaan kati ya nchi ambayo siipend kuliko zote usa kwa kweli binafsi nikiwa rais ni zaid ya kimjon un. 2
  • @
    @safinatourssafaris25193 years ago Huyu mama kashapoteza nchi, kwani angetulia tu hapa nchini, kingetokea nini, kwa nini hatuliii.
  • @
    @ramosfally23183 years ago Jamaa anongea point ila musimpeleke kuzimu jamani angalau 2025. Apewe kichewo kidogo. Nexty nyerere na magufuli ndani yake.
  • @
    @fidelisinnocent75163 years ago Sio waonevu tu wahuni saana hawa jamaa wazungu basi tu.
  • @
    @doricekajuna61853 years ago Pole tunakuombea, unatupa elimu kama jpm, alivyosanaa.
  • @
    @hamismfaume49253 years ago Polepole na rafiki zako hatuwataki habari zenu kutolewa madarakani tu hasira.
  • @
    @bahatimohamedi7203 years ago Wewe ndo pekee umeback mushika ufunguo wa magufuli.
  • @
    @doctorzero-dj5xg3 years ago Kutokana na tunavo kutegemea bora ukae kimya! Tusije tukakupoteza. 1
  • @
    @mussaelisha37333 years ago Polepole amerudi kama ezi ya katiba yuko poa sasa ivi nakuamini ila ulipotea ezi ya jpm.
  • @
    @mohdshebe56403 years ago Sasa darasa hili sisi wananchi wa kawaida lina tusaidiaje, maan hao wanaingia mikataba na hawo wanyonyaji akina nani na wewe ndio mtunga sheria jmni?
  • @
    @josephjulio61122 years ago Mimi naomba mungu putin achinje mtu haraka.
  • @
    @jonaspatrick28713 years ago Naona mama yupo na mkwepa kodi. Kama tony blair anakwepa kodi kwao atatusaidiaje sisi kama sio yupo kwa maslahi yake.
  • @
    @raybirry38163 years ago Anachosema kinyume nyume ni kwamba samia hajui atendalo.
  • @
    @lawcompsl75103 years ago Unaongea zaidi ya ukweli. Haya ndoo yanaoendelea africa tutaishini kwamba, hatuna raisi africa anaye akili za kiasi.
  • @
    @jonaspatrick28713 years ago Ungetoka humo ccm ukaanzisha chama chako na wenzako tungewaunga mkono sanaa tu, jpm ameacha vijana mlioiva, ccm inawapull down.
  • @
    @unclesymonymwaki9583 years ago Ila unapomtaja j p m usimtaje huyo mwingine.
  • @
    @fakihdarusi43853 years ago Sawa lakini wee je? Umefanya nini ili tusiwe tegemezi? Mana kama pia ungekuwa tz unaipenda sana ungerejesha warioba katiba.
  • @
    @petersilas42343 years ago Benki ya dunia na imf zimebadilishwa na wachina. Ujio wa china imebadili uchumi wa dunia. Tujue jinsi ya kwenda na hali mpya.
  • @
    @ulayaz3 years ago Acha upumbavu, unafiki na uchu wa madaraka ndio unaokusumbua.
  • @
    @abuyunusmohamed69613 years ago Polepole wakati wa magufuli ulikuwa mpole. Sasa umekuwa msemaji mkuu wa chadema na kuwa mkali. 1
  • @
    @robertbutahe28353 years ago Tatizo lanikuangalia mambo upande mmoja wa shilingi! Kusoma chuo kikuu ni kitu kimoja na kuelimika ni jambo jengine.
  • @
    @errydeo88653 years ago Tukitumia rasili mali zetu ipasavyo, we dont need them! How we can be self reliant! Samia hana vision at all.
  • @
    @raygamba1743 years ago Mbona kwenye madini ni wao ndio wawekazaji, kipindi chote cha magu mbona hukufungua mdomo? Tanzania raha saana ukitaka madaraka we anza kuanzisha harakati . ...Expand
  • @
    @engzuberir.akilenza17643 years ago Huyu jamaa kukosa cheo kunamtesa sana. Na hataki kuamini kama jamaa hayupo tena duniani.
  • @
    @hamadsuleiman51773 years ago Problem la hii yuotube channel inapotosha watanzania kwa sababu huyu mtoa post hajawahi kumsema vizuri huyu mama hata mara 1 kazi yake ni kupotosha tu . ...Expand
  • @
    @hemedjackson22613 years ago Ss hiz longolongo mjomb zot zimekuj baad ya kuvuliw uwenyekit wa fitna wa chama wkt ww ulikuw nd unojib masuala ya chama wkt ule kweli wanasias njaa wot.