Duration 5:10

KASI YA WAZIRI UMMY ALIPOFIKA TAMISEMI “KUNA UPOTEVU WA MAPATO, TAMISEMI NI KUBWA ILA SIO NGUMU

114 974 watched
0
511
Published 2 Apr 2021

Muda mchache baada ya kula kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Ummy mwalimu amepokelewa katika ofisi za makao makuu ya Tamisemi Mtumba Mji wa Magufuli tarehe 01.04.2021 Baada ya kupokelewa na watumishi katika ofisi hiyo ameanza kazi rasi kwa kutoa maelekzo na mwelekeo wake katika ofisi hiyo na miongoni mwa mambo aliyosisitiza ni:- “Bado kuna mianya mingi na upotevu wa mapato ya Halmashauri ni wajibu wetu sasa kusimamia kuhakikisha wanakusanya ipasavyo na kudhibiti matumizi yao.”Waziri UMMY “Katibu Mkuu pitieni taarifa ya CAG na kuangalia zile Halmashauri 8 zilizopata Hati chafu lkn pia Halmashauri 54 zilizopata Hati za Mashaka kujua masuala muhimu yaliyojitokeza katika taaarifa ya CAG ndipo hatua ziweze kuchukuliwa.”Ummy Mwalimu

Category

Show more

Comments - 124