Je kuna kitu unaona ni kigumu kwako, umekata tamaa, huoni msaada, umeteseka na kusumbuliwa na magonjwa na shida mbalimbali?? Jibu lipo kwa Yesu pekee!!! Hebu sikiliza wimbo huu ambao utakusogeza usoni pa Bwana pia usisahau kumukumbusha Bwana juu ya shida yako maana yeye hashindwi na chochote!!!! God bless you.
Category
Show more
Comments - 2
Related videos for Boaz Dunken , wanadamu wote wameshindwa, wewe Yesu unaweza: