Duration 12:48

50 Cent na French Montana wararuana Instagram, ni baada ya 50 kukejeli Bugatti aliyoinunua mwenzie

20 446 watched
0
402
Published 31 Dec 2019

Category

Show more

Tags

Comments - 118
  • @
    @davidwalalason76305 years ago Happy of you montana rise from death, god loves you.
  • @
    @Tiffany3405 years ago Basi sawa ni namna nyingine ya kufunga mwaka 2019 na kuukaribisha 2020. 3
  • @
    @hamzacedricole36735 years ago We love you my real niggas 50 cent keep up for the best of all the legends in this country usa.
  • @
    @marinamooh40554 years ago Jamani daah si kila mmoja awe proud na anachonunu.
  • @
    @saisaikalyasi59984 years ago Montana kweli kapaniki, anaeleza mambo mengi wakati mwenzake kasimamia gari tu. 2
  • @
    @nsengiyumvabienvenu84915 years ago Hahahahaha wamarekani hao wanahelaa kweli. 1
  • @
    @chiefkaitaba.m.94664 years ago Dah! Ulaya kwa kudharau pesa jamani khaa.
  • @
    @eneolatukio84935 years ago Hahaa, huyu aliekonda hapa ni nani, ni 50 cent? Omg, kamdisi kweli, montana katisherr!
  • @
    @D-Man.B-Free4 years ago 50 cent mahamani kasema wanakopa magari na hela ili waigize ustar.
  • @
    @rehemahussein7484 years ago Mbona asitowe sadaka kwa maskini! Kisha washkuru mungu na kutowa maneno machafu! Towa sadaka ndo tujuwe! 4
  • @
    @tonyqersey17324 years ago 50 na french wanaugomvi mda mrefu sana aujaanzia hapa
    ugov wa 50 na puffy french akaingilia kwa kutupa chupa nying bia ambazo azija tumika za 50 kwenye dastibin.
  • @
    @brizyescoba90064 years ago Huwez shindana na 50 kwenye mitandao atakushinda tu. 2
  • @
    @aminaabdallah36445 years ago France montana say alhamdulillah acha na 50 shades hiyo ndio tabi yake you can' t change him.
  • @
    @kojkoj33535 years ago This is all about boosting frenchs album, l hope is not true. 4
  • @
    @susanruo80875 years ago Wenzetu wenye mihela wana mambo mingi sana.
  • @
    @omromr38054 years ago 50cent. Ni dudubaya wamarekaniwivu tu. 8
  • @
    @samuelibky89894 years ago Yani vita hadi raha mahana nasikia pesa tu!
  • @
    @umutoni-roussel52334 years ago Celebrities drama, oh my god help your people.
  • @
    @stevenmeshack4674 years ago 50cent amefulia ana jelus tu kwafrench analolote. 1
  • @
    @veronicadaniel11225 years ago Huyo 50 kigagulo wa usa anaroho mbaya na wivu tu kama haamini hilo gari jipya au la kisasa ameze hicho kitanda alolalia. 1
  • @
    @gasanajacques22474 years ago Bro stop translating whats you dont understand hahaha. 5
  • @
    @sadasaid44084 years ago Kwani uamuzi wake si yeye akitaka la zamani au jipya.
  • @
    @yuliisilva3515 years ago Mi namdharau 50cent, mwemzie alikuwa anaumwa hoi taabani kapona kaamua kujipongeza angalau ale raha kidogo kwa pesa ambazo hakuwa na uhakika kama atazitumia . ...Expand 3
  • @
    @coogyelectrislabs4 years ago Junky nanayake ni mvuta unga mtu alie athirika ba nadawa ya kukevya ndio anaitwa junky.
  • @
    @NeemaKmussa4 years ago Mtu yuko na furaha zake iweje mtu alete kubwa waja huyo 50 cet ndo puuzi.
  • @
    @rockyvlogs22144 years ago Mimi nimekubali 50 kwanza ubishi umeendelea kwenye gari ila huyu jamaa kaenda mpaka kwa mambo person. 2
  • @
    @ringoaskali76255 years ago Kaka mimi napenda sana ushindani wa kweli kama huo sasa ata mond na kiba washindane tuone nani anamali nyingi au nani ana magari mazuri ndo tutapata mshindi hapo nani babalaoo. 3
  • @
    @willeydavid21085 years ago Siwakutane wapigane sio kujibizan mitandaon wankuwa kama mamanzi.
  • @
    @augustuss45034 years ago Ni utani tu huo na sio ugonvi wala sio wivu.
  • @
    @qadirmfaume82174 years ago Yamwaka 2008, dah kweli lazima apewe makavu. 2
  • @
    @amanimanase57944 years ago Tatzo wabongo akili ndogo, huu ni utan wa kushikaji wao lkn nyie mnadhani ni ugomvi no ni ushikaji tu. 3
  • @
    @ROSEROBERTROBART4 years ago Huyo 56 ndio hana ishu mwenzake kanunu gari yy kinachomuma nini? Mtu mzima hovyo.
  • @
    @projestusprosper16265 years ago Na hii ndo tofauti ya sns na page nyingine.
  • @
    @alihijiiddi89774 years ago Namdharau 50 na mshindi nimontana na aliosema ni ukweli alikuwa ampende basda ya hospitali kumbe kawamjinga 50 anazungumza maneno ya kiskuli skuli.
  • @
    @ebbyramadhani4 years ago 50 cent muuni
    mtu wa makavu
    af ki marekani hata gar ununue kiasi gani
    kama ya zamani unaonekana umeishiwa />kununua gar used marekani haipo iyo ni tabia ya ki africa
    af 50 cent anakadiliwa kuwa na dolla 30million
    french 14 million
    . ...Expand
  • @
    @queentz83145 years ago 50 hakurupukagi tu kuna kitu nyuma ansubiriaga ujisogeze kwenye kona yake atakayo kupatia hapo hukuripua. 1
  • @
    @phillip25534 years ago French montana kaongea uongo kua yeye ndo wakwanza kununua bugatti new york nzima wakati 50 alisha kua nayo zamani.
  • @
    @kijokombao53454 years ago 50 amegeuka wakazi kila kitu anareact.
  • @
    @kimah98555 years ago 50 asilete ujinga hapa kwani anadhani wa africa wajinga. 2
  • @
    @com_sci1235 years ago Kindly stop translating for us pliz tunaelewa kizingu tadhali coz it' s irritating. 1
  • @
    @mohamedshaaban32974 years ago People will understand when use common sense insteady of mass media.
  • @
    @simulizi26324 years ago Junkie ni drug addict (mteja) sio takataka. Ni junkie na sio junk.
  • @
    @tatiya68834 years ago Nikajua mambo yajinga yapo kwetu africa kumbe nako yapo 50 mchokozi tuu.
  • @
    @benjaminfataki68984 years ago Mshindi ni yule aliye jizawadiya zawadi nzuri bila kuongwa, kisha jinga maarufuili lipate ushindi feki. 50 anatafuta kiki kwanguvu.
  • @
    @fahadsaid13255 years ago Me wala sibishani san wao wanashindana billion 3. 4 wakat mm elfu mbili pia sishindanigi.