#RIPMKAPA #MZEEMKAPA #MSIBAWAMKAPA #RATIBAYAMSIBA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa ataagwa Kitaifa Jumanne Julai 28 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na atazikwa kijijini kwao Lupaso, Masasi mkoani Mtwara Jumatano, Julai 29, 2020.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Serikali yatoa ratiba ya mazishi ya Mzee Mkapa: