Duration 10:18

EXCLUSIVE: ALIYEONGOZA MATOKEO KIDATO CHA NNE AFUNGUKA MAZITO / SIRI/ 'MGEDHANI NIMEKUWA KICHAA'

14 521 watched
0
122
Published 16 Jan 2021

Dar24 Media imemtembelea nyumbani kwao mwanafunzi wa shule aliyeongoza katika matokeo ya kidato cha nne nchini Tanzania, Paul Luziga. Mwanafunzi huyo ameweka wazi siri ya maisha yaliyomfanya awe kinara katika matokeo hayo pamoja na ndoto zake. Mahojiano haya yatakupa picha halisi wanafunzi wanaofanya vizuri zaidi wanavyoandaliwa. TAFADHALI 'COMMENT' na 'SHARE' #tanzaniaone2020#paulluziga#pandahillsecondary

Category

Show more

Comments - 26