Duration 3:3

''WATU WA HIFADHI HAKUNA MTU ANARUHUSIWA KUPIGA WANANCHI''—DR MPANGO

9 656 watched
0
45
Published 18 Jul 2021

Makamu wa Rais ameendelea na ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kigoma ambapo ametembelea Kasulu pamoja na Kibondo. Akiwa njiani kuelekea Kibondo, Makamu wa Rais amesimama katika maeneo mbalimbali kuwasalimia Wananchi.

Category

Show more

Comments - 14