Duration 23:11

YANGA KUHUKUMIWA CAF/ MAHAKIMU WATAJWA/ ZANACO YACHAFUA HALI YA HEWA

7 492 watched
0
31
Published 30 Aug 2021

Waamuzi wanane kutoka nchi za Somalia na Ghana wamepangwa kuchezesha mechi mbili za raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu zitakazokutanisha wawakilishi wa Tanzania, Yanga na Rivers United mwezi ujao. Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepanga waamuzi wanne kutoka Somalia kuchezesha mechi ya kwanza baina ya timu hizo itakayochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Septemba 12, kuanzia saa 11 jioni -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #yangasc #riversunited #caf

Category

Show more

Comments - 4