Duration 6:11

VIJANA NA UWEKEZAJI: VIJANA TUWEKEZE TUSITAFUNE MITAJI - Anthony Luvanda.

7 834 watched
0
73
Published 27 Apr 2019

Tarehe 27/04/2019, limefanyika kongamano la uwekezaji "The Young Investors conference' liloandaliwa na Taasisi ya Fedha ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(DUFA) kwa lengo la kuhamasisha Vijana wa kitanzania Kuwekeza. Katika kongamano hilo Jitambueforums Tv ilizungumza na wahamasishaji, wadau wa soko la hisa, muhakilishi kutoka bank kuu ya Tanzania (B.O.T) kwa lengo kuhakikisha kuwa vijana na jamii wanajifunza kitu kutoka kwao. Hii ni sehemu ya mahojiano kutoka katika kongamano hilo.

Category

Show more

Comments - 4