Duration 3:27

Mzozo Watibuka Ndani Ya One Kenya Kuhusu Mgombea Urais 2022

11 654 watched
0
40
Published 20 Jul 2021

Mzozo Umeanza Kutokota Katika Muungano Wa One Kenya Alliance Kati Ya Vinara Kalonzo Musyoka Na Musalia Mudavadi Kuhusu Ni Nani Atapeperusha Bendera Ya Urais. Pande Mbili Zimekabana Huku Kalonzo Akijitetea Kuwa Anao Umaarufu Mkubwa Kuliko Musalia Anayesema Anayo Sura Ya Kitaifa Iwapo Atapewa Tiketi. Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti, Vinara Hao Pamoja Na Moses Wetangula Wa Ford Kenya Wameanza Mchakato Wa Kujiondoa Katika Muungano Wa Nasa.

Category

Show more

Comments - 30