Duration 1:50

MAGUMU YOTE UNAYOPITIA LAKINI UNAAMBIWA, USIKATE TAMAA - DON'T GIVE UP

728 watched
0
19
Published 10 Sep 2021

Kuna muda mambo huwa hayaendi kama vile unavyohitaji yawe...Usikate tamaa, Mipango yote uliyopanga bado haijatimia...usikate tamaa. Malengo yako yamesimama....kamwe usikate tamaa. Cha kufanya ni kuzidisha juhudi katika shughuli zako pia kumbuka Mwenyezi Mungu yupo kwajili yetu sote, hivyo hawezi kutuacha. Karibu Sana, katika channel ya Quotes24life - Youtube. Hakikisha una subscribe kama wenzako walivyofanya 🙏 #Quotes24life

Category

Show more

Comments - 1