Duration 6:4

Bibi wa mtoto aliefanyiwa Udhalilishaji Micheweni atishiwa amani,Daktari afafanua hali ya Mtoto huyo

1 302 watched
0
6
Published 7 Dec 2021

Bi Sada Juma Faki ameeleza juu ya Kusikitishwa kwake kwa kuoneshwa hali ya Kutishiwa Amani kutokana na Kuripoti tukio la Udhalilishaji la Mjukuu wake mwenye umri wa miaka 12 anaesoma Darasa la Tatu katika Skuli ya Micheweni Msingi. Daktari Dhamana katika Hospitali ya Wilaya ya MIcheweni Dkt. Zuber Omar Zubar amethibitisha juu ya mtoto huyo kama ameshaharibiwa na sio mara ya kwanza kutokana na vipimo vinavyoonesha. Tafadhali endelea kufuatilia Channel yetu hii kwa habari

Category

Show more

Comments - 4